Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Wafalme 22:1-2

2 Wafalme 22:1-2 NEN

Yosia alikuwa na miaka minane alipoanza kutawala, naye akatawala huko Yerusalemu miaka thelathini na mmoja. Mama yake aliitwa Yedida binti Adaya, kutoka Boskathi. Akafanya yaliyo mema machoni pa BWANA na kuenenda katika njia zote za Daudi baba yake. Hakugeuka upande wa kuume wala wa kushoto.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Wafalme 22:1-2