Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Nya 7:15-16

2 Nya 7:15-16 SUV

Sasa macho yangu yatafumbuka, na masikio yangu yatasikiliza maombi ya watu waombao mahali hapa. Maana sasa nimeichagua nyumba hii na kuitakasa, ili kwamba jina langu lipate kuwako huko milele; yatakuwako na macho yangu, na moyo wangu daima.

Soma 2 Nya 7

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Nya 7:15-16

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha