Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufunuo 7:15-16

Ufunuo 7:15-16 NEN

Kwa hiyo, “Wako mbele ya kiti cha enzi cha Mungu na kumtumikia usiku na mchana katika hekalu lake; naye aketiye katika kile kiti cha enzi atatanda hema yake juu yao. Kamwe hawataona njaa wala kiu tena. Jua halitawapiga wala joto lolote liunguzalo.

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha