Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufunuo 21:24-26

Ufunuo 21:24-26 NEN

Mataifa yatatembea yakiangaziwa na nuru yake na wafalme wa duniani wataleta fahari yao ndani yake. Malango yake hayatafungwa kamwe, kwa maana hakutakuwa na usiku humo. Utukufu na heshima za mataifa zitaletwa humo.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufunuo 21:24-26