Ufunuo 21:24-26
Ufunuo 21:24-26 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Na mataifa watatembea katika nuru yake. Na wafalme wa nchi huleta utukufu wao ndani yake. Na milango yake haitafungwa kamwe mchana; kwa maana humo hamna usiku. Nao wataleta utukufu na heshima ya mataifa ndani yake.
Shirikisha
Soma Ufunuo 21Ufunuo 21:24-26 Biblia Habari Njema (BHN)
Watu wa mataifa watatembea katika mwanga wake na wafalme wa dunia watauletea utajiri wao. Milango ya mji huo itakuwa wazi mchana wote; maana hakutakuwa na usiku humo. Fahari na utajiri wa watu wa mataifa utaletwa humo ndani.
Shirikisha
Soma Ufunuo 21