Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 89:29-33

Zaburi 89:29-33 NEN

Nitaudumisha uzao wake milele, kiti chake cha enzi kama mbingu zinavyodumu. “Kama wanae wataacha amri yangu na wasifuate sheria zangu, kama wakihalifu maagizo yangu na kutoshika amri zangu, nitaadhibu dhambi yao kwa fimbo, uovu wao kwa kuwapiga, lakini sitauondoa upendo wangu kwake, wala sitausaliti uaminifu wangu kamwe.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 89:29-33