Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 45:6-7

Zaburi 45:6-7 NEN

Ee Mungu, kiti chako cha enzi kitadumu milele na milele, fimbo ya utawala wa haki itakuwa fimbo ya utawala wa ufalme wako. Unaipenda haki na kuchukia uovu; kwa hiyo Mungu, Mungu wako, amekuweka juu ya wenzako, kwa kukupaka mafuta ya furaha.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 45:6-7