Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 45:6-7

Zab 45:6-7 SUV

Kiti chako cha enzi, Mungu, ni cha milele na milele, Fimbo ya ufalme wako ni fimbo ya adili. Umeipenda haki; Umeichukia dhuluma. Kwa hiyo MUNGU, Mungu wako, amekupaka mafuta, Mafuta ya furaha kuliko wenzako.

Soma Zab 45

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zab 45:6-7