Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 143:8-11

Zaburi 143:8-11 NEN

Asubuhi uniletee neno la upendo wako usiokoma, kwa kuwa nimeweka tumaini langu kwako. Nionyeshe njia nitakayoiendea, kwa kuwa kwako nainua nafsi yangu. Ee BWANA, uniokoe na adui zangu, kwa kuwa nimejificha kwako. Nifundishe kufanya mapenzi yako, kwa maana wewe ndiwe Mungu wangu, Roho wako mwema na aniongoze katika nchi tambarare. Ee BWANA, kwa ajili ya jina lako, hifadhi maisha yangu, kwa haki yako nitoe katika taabu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 143:8-11