Zaburi 125:1-2
Zaburi 125:1-2 NEN
Wale wamtumainio BWANA ni kama mlima Sayuni, ambao hauwezi kutikisika, bali wadumu milele. Kama milima inavyozunguka Yerusalemu, ndivyo BWANA anavyowazunguka watu wake sasa na hata milele.