Zaburi 125:1-2
Zaburi 125:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Wanaomtegemea Mwenyezi-Mungu, wako kama mlima Siyoni, ambao hautikisiki bali wabaki imara daima. Kama Yerusalemu inavyozungukwa na milima, ndivyo Mwenyezi-Mungu awazungukavyo watu wake, tangu sasa na hata milele.
Shirikisha
Soma Zaburi 125Zaburi 125:1-2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wamtumainio BWANA ni kama mlima Sayuni, Ambao hautikisiki, wakaa milele. Kama milima inavyouzunguka Yerusalemu, Ndivyo BWANA anavyowazunguka watu wake, Tangu sasa na hata milele.
Shirikisha
Soma Zaburi 125