Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 125:1-2

Zaburi 125:1-2 BHN

Wanaomtegemea Mwenyezi-Mungu, wako kama mlima Siyoni, ambao hautikisiki bali wabaki imara daima. Kama Yerusalemu inavyozungukwa na milima, ndivyo Mwenyezi-Mungu awazungukavyo watu wake, tangu sasa na hata milele.

Soma Zaburi 125

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 125:1-2