Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 100:4-5

Zaburi 100:4-5 NEN

Ingieni malangoni mwake kwa shukrani na katika nyua zake kwa kusifu, mshukuruni yeye na kulisifu jina lake. Kwa maana BWANA ni mwema na upendo wake wadumu milele; uaminifu wake unadumu kwa vizazi vyote.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 100:4-5