Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 100:4-5

Zab 100:4-5 SUV

Ingieni malangoni mwake kwa kushukuru; Nyuani mwake kwa kusifu; Mshukuruni, lihimidini jina lake; Kwa kuwa BWANA ndiye mwema; Rehema zake ni za milele; Na uaminifu wake vizazi na vizazi.

Soma Zab 100

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zab 100:4-5