Zaburi 100:4-5
Zaburi 100:4-5 Biblia Habari Njema (BHN)
Pitieni milango ya hekalu lake kwa shukrani, ingieni katika nyua zake kwa sifa. Mshukuruni na kulisifu jina lake. Mwenyezi-Mungu ni mwema; fadhili zake zadumu milele, na uaminifu wake katika vizazi vyote.
Shirikisha
Soma Zaburi 100Zaburi 100:4-5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ingieni malangoni mwake kwa shukrani; Nyuani mwake kwa kusifu; Mshukuruni, lihimidini jina lake; Maana BWANA ni mwema; Rehema zake ni za milele; Na uaminifu wake katika vizazi vyote.
Shirikisha
Soma Zaburi 100Zaburi 100:4-5 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Ingieni malangoni mwake kwa kushukuru; Nyuani mwake kwa kusifu; Mshukuruni, lihimidini jina lake; Kwa kuwa BWANA ndiye mwema; Rehema zake ni za milele; Na uaminifu wake vizazi na vizazi.
Shirikisha
Soma Zaburi 100