Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mithali 8:1-4

Mithali 8:1-4 NEN

Je, hekima haitani? Je, ufahamu hapazi sauti? Juu ya miinuko karibu na njia, penye njia panda, ndipo asimamapo; kando ya malango yaelekeayo mjini, kwenye maingilio, hulia kwa sauti kubwa, akisema: “Ni ninyi wanaume, ninaowaita; ninapaza sauti yangu kwa wanadamu wote.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mithali 8:1-4