Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mit 8:1-4

Mit 8:1-4 SUV

Je! Hekima halii? Ufahamu hatoi sauti yake? Juu ya mahali palipoinuka karibu na njia, Penye njia panda, ndipo asimamapo. Karibu na malango, mahali pa kuingia mjini, Mahali pa kuyaingilia malango anapiga kelele. Enyi watu, nawaita ninyi; Na sauti yangu ni kwa wanadamu.

Soma Mit 8

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mit 8:1-4