Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Luka 22:50-51

Luka 22:50-51 NEN

Mmoja wao akampiga mtumishi wa kuhani mkuu kwa upanga, akamkata sikio la kuume. Lakini Yesu akasema, “Acheni!” Akaligusa lile sikio la yule mtu na kumponya.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Luka 22:50-51