Luka 22:50-51
Luka 22:50-51 Biblia Habari Njema (BHN)
Na mmoja wao akampiga upanga mtumishi wa kuhani mkuu, akamkata sikio lake la kulia. Hapo, Yesu akasema, “Acha! Hii inatosha.” Akaligusa sikio la mtu huyo, akaliponya.
Shirikisha
Soma Luka 22Luka 22:50-51 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mmoja wao akampiga mtumwa wa Kuhani Mkuu, akamkata sikio la kulia. Yesu akajibu akasema, Muwe radhi kwa hili. Akamgusa sikio, akamponya.
Shirikisha
Soma Luka 22