Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Walawi 6:18

Walawi 6:18 NEN

Kila mwanaume mzao wa Aroni aweza kuila. Ni fungu lake la kawaida la sadaka zilizotolewa kwa BWANA kwa moto kwa vizazi vijavyo. Chochote kinachozigusa kitakuwa kitakatifu.’ ”