Walawi 6:18
Walawi 6:18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kila mwanamume miongoni mwa wana wa Haruni atakula katika huo, kuwa ni haki yao milele katika vizazi vyenu, katika matoleo ya BWANA yasongezwayo kwa njia ya moto; mtu yeyote atakayevigusa atakuwa ni mtakatifu.
Shirikisha
Soma Walawi 6Walawi 6:18 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kila mwana mume miongoni mwa wana wa Haruni atakula katika huo, kuwa ni haki yao milele katika vizazi vyenu, katika matoleo ya BWANA yasongezwayo kwa njia ya moto; mtu awaye yote atakayevigusa atakuwa ni mtakatifu
Shirikisha
Soma Walawi 6