Maombolezo 3:25-28
Maombolezo 3:25-28 NENO
Mwenyezi Mungu ni mwema kwa wale wanaomtumaini, na kwa yule anayemtafuta; ni vyema kungojea kwa utulivu kwa ajili ya wokovu wa Mwenyezi Mungu. Ni vyema mtu kuchukua nira bado angali kijana. Na akae peke yake awe kimya, kwa maana Mwenyezi Mungu ameiweka juu yake.