Maombolezo 3:25-28
Maombolezo 3:25-28 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA ni mwema kwa hao wamngojeao, Kwa hiyo nafsi imtafutayo. Ni vema mtu autarajie wokovu wa BWANA Na kumngojea kwa utulivu. Ni vema mwanadamu aichukue nira Wakati wa ujana wake. Na akae peke yake na kunyamaza kimya; Kwa sababu Bwana ameweka hayo juu yake.
Maombolezo 3:25-28 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)

Maombolezo 3:25-28 Neno: Maandiko Matakatifu 2024 (NENO)
Mwenyezi Mungu ni mwema kwa wale wanaomtumaini, na kwa yule anayemtafuta; ni vyema kungojea kwa utulivu kwa ajili ya wokovu wa Mwenyezi Mungu. Ni vyema mtu kuchukua nira bado angali kijana. Na akae peke yake awe kimya, kwa maana Mwenyezi Mungu ameiweka juu yake.
Maombolezo 3:25-28 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu ni mwema kwa wanaomtegemea, ni mwema kwa wote wanaomtafuta. Ni vema mtu kungojea kwa saburi ukombozi utokao kwa Mwenyezi-Mungu. Ni vema mtu kujifunza uvumilivu tangu wakati wa ujana wake. Heri kukaa peke na kimya, mazito yanapompata kutoka kwa Mungu.