Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yeremia 17:9-10

Yeremia 17:9-10 NEN

Moyo ni mdanganyifu kuliko vitu vyote, ni mwovu kupita kiasi. Ni nani awezaye kuujua? “Mimi BWANA huchunguza moyo na kuzijaribu nia, ili kumlipa mtu kwa kadiri ya mwenendo wake, kwa kadiri ya matendo yake yanavyostahili.”