Yeremia 17:9-10
Yeremia 17:9-10 Biblia Habari Njema (BHN)
“Moyo wa mtu ni mdanganyifu kuliko vitu vyote; hauwezi kuponywa, hakuna awezaye kuuelewa! Mimi Mwenyezi-Mungu hupima akili na kuchunguza mpaka ndani ya moyo wa mtu. Na hivyo humtendea kila mmoja, kulingana na mwenendo wake, kadiri ya matendo yake.”
Shirikisha
Soma Yeremia 17Yeremia 17:9-10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Moyo huwa mdanganyifu kuliko vitu vyote, una ugonjwa wa kufisha; nani awezaye kuujua? Mimi, BWANA, nauchunguza moyo, navijaribu viuno, hata kumpa kila mtu kiasi cha njia zake, kiasi cha matunda ya matendo yake.
Shirikisha
Soma Yeremia 17Yeremia 17:9-10 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Moyo huwa mdanganyifu kuliko vitu vyote, una ugonjwa wa kufisha; nani awezaye kuujua? Mimi, BWANA, nauchunguza moyo, navijaribu viuno, hata kumpa kila mtu kiasi cha njia zake, kiasi cha matunda ya matendo yake.
Shirikisha
Soma Yeremia 17