Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isaya 55:1

Isaya 55:1 NENO

“Haya! Njooni, ninyi nyote wenye kiu, njooni kwenye maji; nanyi ambao hamna fedha, njooni, nunueni na mle! Njooni, nunueni divai na maziwa bila fedha na bila gharama.

Picha ya aya ya Isaya 55:1

Isaya 55:1 - “Haya! Njooni, ninyi nyote wenye kiu,
njooni kwenye maji;
nanyi ambao hamna fedha,
njooni, nunueni na mle!
Njooni, nunueni divai na maziwa
bila fedha na bila gharama.