Isaya 55:1
Isaya 55:1 Biblia Habari Njema (BHN)
“Haya! Kila mwenye kiu na aje kwenye maji! Njoni, nyote hata msio na fedha; nunueni ngano mkale, nunueni divai na maziwa. Bila fedha, bila gharama!
Shirikisha
Soma Isaya 55Isaya 55:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Haya, kila aonaye kiu, njoni majini, Naye asiye na fedha; njoni, nunueni mle; Naam, njoni, nunueni divai na maziwa, Bila fedha na bila gharama.
Shirikisha
Soma Isaya 55Isaya 55:1 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Haya, kila aonaye kiu, njoni majini, Naye asiye na fedha; njoni, nunueni mle; Naam, njoni, nunueni divai na maziwa, Bila fedha na bila thamani.
Shirikisha
Soma Isaya 55