Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isaya 33:5-6

Isaya 33:5-6 NEN

BWANA ametukuka, kwa kuwa anakaa mahali palipoinuka, ataijaza Sayuni kwa haki na uadilifu. Atakuwa msingi ulio imara kwa wakati wenu, ghala za wokovu tele, hekima na maarifa; kumcha BWANA ni ufunguo wa hazina hii.