Isaya 33:5-6
Isaya 33:5-6 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu ametukuka, yeye anaishi juu mbinguni. Ameujaza Siyoni haki na uadilifu. Enyi watu wa Yerusalemu, Mwenyezi-Mungu atawajalieni usalama, atawaokoa na kuwapa hekima na maarifa. Hazina yenu kuu ni kumcha Mwenyezi-Mungu.
Shirikisha
Soma Isaya 33Isaya 33:5-6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA ametukuka; kwa maana anakaa juu; amejaza Sayuni hukumu na haki. Nyakati zako zitakuwa nyakati za kukaa imara; za wokovu tele na hekima na maarifa; kumcha BWANA ni hazina yake ya akiba.
Shirikisha
Soma Isaya 33