Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Waefeso 4:2-4

Waefeso 4:2-4 NEN

Kwa unyenyekevu wote na upole, mkiwa wavumilivu, mkichukuliana kwa upendo. Jitahidini kudumisha umoja wa Roho katika kifungo cha amani. Kuna mwili mmoja na Roho mmoja, kama vile mlivyoitwa katika tumaini moja.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Waefeso 4:2-4