Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Waefeso 4:2-4

Waefeso 4:2-4 BHN

Muwe daima wanyenyekevu, wapole na wenye saburi; vumilianeni nyinyi kwa nyinyi kwa mapendo. Fanyeni bidii ya kuhifadhi umoja uletwao na Roho kwa kuzingatia amani iliyo kati yenu. Kuna mwili mmoja na Roho mmoja, kama vile tumaini mliloitiwa na Mungu ni moja.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Waefeso 4:2-4