Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Nyakati 7:15-16

2 Nyakati 7:15-16 NEN

Sasa macho yangu yatafumbuka na masikio yangu yatasikiliza kwa makini maombi yaombwayo mahali hapa. Kwa maana sasa nimechagua na kutakasa Hekalu hili ili kwamba Jina langu lipate kuwa huko milele. Macho yangu na moyo wangu utakuwepo huko daima.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Nyakati 7:15-16