Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Nyakati 20:12-13

2 Nyakati 20:12-13 NEN

Ee Mungu wetu, je, wewe hutawahukumu? Kwa kuwa sisi hatuna uwezo wa kukabiliana na jeshi hili kubwa linalokuja kutushambulia. Sisi hatujui la kufanya, bali macho yetu yanakutazama wewe.” Watu wote wa Yuda pamoja na wake zao, watoto wao na wadogo wao wakasimama pale mbele za BWANA.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Nyakati 20:12-13