Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Samweli 10:15-16

1 Samweli 10:15-16 NENO

Babaye mdogo Sauli akasema, “Niambie Samweli amekuambia nini.” Sauli akajibu, “Alituhakikishia kwamba punda wamepatikana.” Lakini hakumwambia babaye mdogo kila kitu Samweli alichomwambia kuhusu ufalme.