1
Yohana 5:24
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Kwa hakika nawaambia, yeyote anayesikia ninayosema na kumwamini yule aliyenituma anao uzima wa milele. Hawa hawatahukumiwa kuwa na hatia. Kwani tayari wameshaivuka mauti na kuingia ndani ya uzima.
Linganisha
Chunguza Yohana 5:24
2
Yohana 5:6
Yesu alimwona akiwa amelala hapo na kutambua kuwa amekuwa mgonjwa kwa muda mrefu sana. Hivyo akamwuliza, “Je! unataka kuwa mzima?”
Chunguza Yohana 5:6
3
Yohana 5:39-40
Mnajifunza Maandiko kwa makini. Nanyi mnafikiri kuwa yanawapa uzima wa milele. Maandiko haya haya yanaeleza habari zangu! Lakini mnakataa kuja kwangu kuupata huo uzima.
Chunguza Yohana 5:39-40
4
Yohana 5:8-9
Kisha Yesu akasema, “Simama juu! Beba kirago chako na utembee.” Mara hiyo, mtu huyo akapona. Akabeba kirago chake na kuanza kutembea. Siku yalipotokea haya yote ilikuwa ni Siku ya Sabato.
Chunguza Yohana 5:8-9
5
Yohana 5:19
Lakini Yesu akajibu, “Hakika nawaambieni kuwa Mwana hawezi kufanya chochote peke yake. Bali hufanya tu yale anayoona Baba yake anayafanya. Kwa maana Mwana hufanya mambo ambayo Baba huyafanya.
Chunguza Yohana 5:19
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video