Yohane 5:19
Yohane 5:19 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Mwana hawezi kutenda neno mwenyewe ila lile ambalo amwona Baba analitenda; kwa maana yote ayatendayo yeye, ndiyo ayatendayo Mwana vile vile.
Shirikisha
Soma Yohane 5Yohane 5:19 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Yesu akawaambia, “Amin, amin nawaambia, Mwana hawezi kufanya jambo lolote peke yake, yeye aweza tu kufanya lile analomwona Baba yake akifanya, kwa maana lolote afanyalo Baba, Mwana pia hufanya vivyo hivyo.
Shirikisha
Soma Yohane 5