Yohane 5:24
Yohane 5:24 Biblia Habari Njema (BHN)
“Kweli nawaambieni, anayesikia neno langu, na kumwamini yule aliyenituma, anao uhai wa milele. Hatahukumiwa kamwe, bali amekwisha pita kutoka kifoni na kuingia katika uhai.
Shirikisha
Soma Yohane 5Yohane 5:24 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Amin, amin, nawaambia, Yeye alisikiaye neno langu na kumwamini yeye aliyenituma ana uzima wa milele; wala haingii hukumuni, bali amepita kutoka mautini kuingia uzimani.
Shirikisha
Soma Yohane 5Yohane 5:24 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Amin, amin, nawaambia, Yeye alisikiaye neno langu na kumwamini yeye aliyenipeleka yuna uzima wa milele; wala haingii hukumuni, bali amepita kutoka mautini kuingia uzimani.
Shirikisha
Soma Yohane 5