1
Mt 18:20
Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia
Kwa kuwa walipo wawili watatu wamekusanyika kwa jina langu, nami nipo papo hapo katikati yao.
Linganisha
Chunguza Mt 18:20
2
Mt 18:19
Tena nawaambia, ya kwamba wawili wenu watakapopatana duniani katika jambo lo lote watakaloliomba, watafanyiwa na Baba yangu aliye mbinguni.
Chunguza Mt 18:19
3
Mt 18:2-3
Ni nani basi aliye mkuu katika ufalme wa mbinguni? Akaita mtoto mmoja, akamweka katikati yao, akasema, Amin, nawaambia, Msipoongoka na kuwa kama vitoto, hamtaingia kamwe katika ufalme wa mbinguni.
Chunguza Mt 18:2-3
4
Mt 18:4
Basi, ye yote ajinyenyekeshaye mwenyewe kama mtoto huyu, huyo ndiye aliye mkuu katika ufalme wa mbinguni.
Chunguza Mt 18:4
5
Mt 18:5
Na ye yote atakayempokea mtoto mmoja mfano wa huyu kwa jina langu, anipokea mimi
Chunguza Mt 18:5
6
Mt 18:18
Amin, nawaambieni, yo yote mtakayoyafunga duniani yatakuwa yamefungwa mbinguni; na yo yote mtakayoyafungua duniani yatakuwa yamefunguliwa mbinguni.
Chunguza Mt 18:18
7
Mt 18:35
Ndivyo na Baba yangu wa mbinguni atakavyowatenda ninyi, msiposamehe kwa mioyo yenu kila mtu ndugu yake.
Chunguza Mt 18:35
8
Mt 18:6
bali atakayemkosesha mmojawapo wa wadogo hawa waniaminio, yamfaa afungiwe shingoni jiwe kubwa la kusagia, na kutoswa katika kilindi cha bahari.
Chunguza Mt 18:6
9
Mt 18:12
Mwaonaje? Mtu akiwa na kondoo mia, mmoja akampotea, je! Hawaachi wale tisa na tisini, akaenda milimani, na kumtafuta yule aliyepotea?
Chunguza Mt 18:12
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video