1
Mithali 25:28
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Kama vile mji ambao kuta zake zimebomoka ndivyo alivyo mtu ambaye hawezi kujitawala mwenyewe.
Linganisha
Chunguza Mithali 25:28
2
Mithali 25:21-22
Kama adui yako ana njaa, mpe chakula ale; kama ana kiu, mpe maji anywe. Kwa kufanya hivyo, unaweka makaa ya moto yanayowaka kichwani pake, naye Mwenyezi Mungu atakupa thawabu.
Chunguza Mithali 25:21-22
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video