1
Mithali 24:3
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Kwa hekima nyumba hujengwa, nayo kupitia ufahamu huimarishwa
Linganisha
Chunguza Mithali 24:3
2
Mithali 24:17
Usitazame kwa kufurahia adui yako aangukapo; wakati anapojikwaa, usiruhusu moyo wako ushangilie.
Chunguza Mithali 24:17
3
Mithali 24:33-34
Bado kulala kidogo, kusinzia kidogo, bado kukunja mikono kidogo upate kupumzika: na umaskini utakuja juu yako kama mnyang’anyi, na kupungukiwa kutakujia kama mtu mwenye silaha.
Chunguza Mithali 24:33-34
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video