Methali 25:21-22
Methali 25:21-22 Biblia Habari Njema (BHN)
Adui yako akiwa na njaa, mpe chakula; akiwa na kiu, mpe maji ya kunywa. Hivyo utafanya apate aibu kali, kama makaa ya moto kichwani pake, naye Mwenyezi-Mungu atakutuza.
Shirikisha
Soma Methali 25Methali 25:21-22 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Adui yako akiwa ana njaa, mpe chakula; Tena akiwa ana kiu, mpe maji ya kunywa; Maana utatia makaa ya moto kichwani pake; Na BWANA atakupa thawabu.
Shirikisha
Soma Methali 25