Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Methali 25:21-22

Methali 25:21-22 BHN

Adui yako akiwa na njaa, mpe chakula; akiwa na kiu, mpe maji ya kunywa. Hivyo utafanya apate aibu kali, kama makaa ya moto kichwani pake, naye Mwenyezi-Mungu atakutuza.

Soma Methali 25

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Methali 25:21-22