Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mithali 25:21-22

Mithali 25:21-22 NEN

Kama adui yako ana njaa, mpe chakula ale; kama ana kiu, mpe maji anywe. Kwa kufanya hivyo, unaweka makaa ya moto yanayowaka kichwani pake, naye BWANA atakupa thawabu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mithali 25:21-22