1
Yeremia 8:22
Neno: Bibilia Takatifu
Je, hakuna zeri ya kuponya katika Gileadi? Je, hakuna tabibu huko? Kwa nini basi hakuna uponyaji wa majeraha ya watu wangu?
Linganisha
Chunguza Yeremia 8:22
2
Yeremia 8:4
“Waambie, ‘Hivi ndivyo asemavyo BWANA: “ ‘Je, watu wanapoanguka hawainuki? Je, mtu anapopotea harudi?
Chunguza Yeremia 8:4
3
Yeremia 8:7
Hata korongo aliyeko angani anayajua majira yake yaliyoamriwa, nao njiwa, mbayuwayu na koikoi hufuata majira yao ya kurudi. Lakini watu wangu hawajui BWANA anachotaka kwao.
Chunguza Yeremia 8:7
4
Yeremia 8:6
Nimewasikiliza kwa makini, lakini hawataki kusema lililo sawa. Hakuna anayetubia makosa yake akisema, “Nimefanya nini?” Kila mmoja hufuata njia yake mwenyewe kama farasi anayekwenda vitani.
Chunguza Yeremia 8:6
5
Yeremia 8:9
Wenye hekima wataaibika, watafadhaika na kunaswa. Kwa kuwa wamelikataa neno la BWANA, hiyo hekima waliyo nayo ni ya namna gani?
Chunguza Yeremia 8:9
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video