Yeremia 8:22
Yeremia 8:22 Biblia Habari Njema (BHN)
Je, hakuna dawa ya kupaka huko Gileadi? Je, hakuna mganga huko? Mbona basi watu wangu hawajaponywa?
Shirikisha
Soma Yeremia 8Yeremia 8:22 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Je! Hakuna marhamu katika Gileadi? Huko hakuna tabibu? Mbona, basi, haijarejea afya ya binti ya watu wangu?
Shirikisha
Soma Yeremia 8