Yeremia 8:6
Yeremia 8:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Mimi nilisikiliza kwa makini, lakini wao hawakusema ukweli wowote. Hakuna mtu anayetubu uovu wake, wala kujiuliza; ‘Nimefanya nini?’ Kila mmoja wao anashika njia yake, kama farasi akimbiliavyo moja kwa moja vitani.
Shirikisha
Soma Yeremia 8Yeremia 8:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nilisikiliza nikasikia, lakini walisema yasiyo sawa; hapana mtu aliyetubia maovu yake, akisema, Nimefanya nini? Kila mtu hurudia mwendo wake mwenyewe, kama farasi aendavyo kasi vitani.
Shirikisha
Soma Yeremia 8