1
Ezekieli 2:2-3
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Alipokuwa akiongea nami, Roho wa Mungu akanijia na kunisimamisha wima, nikamsikia akisema nami. Akaniambia: “Mwanadamu, ninakutuma kwa Waisraeli, taifa ambalo limeniasi mimi; wao na baba zao wameniasi hadi leo.
Linganisha
Chunguza Ezekieli 2:2-3
2
Ezekieli 2:7-8
Lazima uwaambie maneno yangu, ikiwa watasikiliza au hawatasikiliza, kwa kuwa wao ni waasi. Lakini wewe mwanadamu, sikiliza ninalokuambia. Usiasi kama hiyo nyumba ya uasi. Fungua kinywa chako na ule nikupacho.”
Chunguza Ezekieli 2:7-8
3
Ezekieli 2:5
Kama watasikiliza au hawatasikiliza, kwa kuwa wao ni nyumba ya uasi, watajua nabii amekuwa miongoni mwao.
Chunguza Ezekieli 2:5
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video