Ezekieli 2:5
Ezekieli 2:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Wakisikia au wasiposikia, maana wao ni watu waasi, walau watatambua kwamba nabii amekuwapo miongoni mwao.
Shirikisha
Soma Ezekieli 2Ezekieli 2:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nao, iwe watasikia au hawataki kusikia, (maana ndio nyumba ya kuasi hao), hata hivyo watajua ya kuwa nabii amekuwako miongoni mwao.
Shirikisha
Soma Ezekieli 2