1
Kumbukumbu 31:6
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Kuweni imara na moyo wa ushujaa. Msiogope wala msifadhaike kwa sababu yao, kwa kuwa Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, anaenda pamoja nanyi; kamwe hatawaacha wala hatawatupa ninyi.”
Linganisha
Chunguza Kumbukumbu 31:6
2
Kumbukumbu 31:8
Mwenyezi Mungu mwenyewe atakutangulia naye atakuwa pamoja nawe; kamwe hatakuacha wala hatakutupa. Usiogope, wala usifadhaike.”
Chunguza Kumbukumbu 31:8
3
Kumbukumbu 31:7
Kisha Musa akamwita Yoshua na akamwambia mbele ya Israeli wote, “Uwe imara na moyo wa ushujaa, kwa kuwa ni lazima uende na watu hawa katika nchi ile Mwenyezi Mungu aliyowaapia baba zao kuwapa, nawe ni lazima uwagawie kama urithi wao.
Chunguza Kumbukumbu 31:7
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video