Kumbukumbu la Sheria 31:8
Kumbukumbu la Sheria 31:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu ndiye anayewaongoza; yeye atakuwa pamoja nanyi; yeye hataacha kuwasaidia na hatawatupa. Hivyo, msiogope wala msifadhaike.”
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 31Kumbukumbu la Sheria 31:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naye BWANA, yeye ndiye atakayekutangulia, atakuwa pamoja nawe, hatakupungukia wala kukuacha; usiogope wala usifadhaike.
Shirikisha
Soma Kumbukumbu la Sheria 31